Home » » MCHUNGAJI JONAS SINGO "MC" MPYA WA SHEREHE

MCHUNGAJI JONAS SINGO "MC" MPYA WA SHEREHE

Written By Unknown on Tuesday, 12 August 2014 | 06:48

Mchungaji Jonas Singo wa mtaa wa Magomeni Dar es Salaam ameonesha uwezo wa kusherehesha sherehe. Tukio hili limetokea katika sherehe za kuhitimisha kambi la mtaa wa Kihonda manispaa ya Morogoro alipokuwa mnenaji mkuu kwa juma zima.
Sherehe hii ilifana kwa kukumbuka wanandoa waliopo katika mkutano kwa kuwakumbusha tendo la upendo la kulishana keki iliyoandaliwa na mtaa huu.
Shangwe ilizidi pale ilipoonekana ndoa kongwe zaidi zote, ni ya mchungaji mstaafu mzee Manento aliyelishana keki na mke wake waliodumu kwenye ndoa kwa miaka 65.
"MC" Singo akiendelea na kazi ya kusherehesha sherehe
Mch. Lupia wa mtaa wa Kivule na mke wake wakianza zoezi la kukata keki na nyuma yao ni Mch. Mseli wa mtaa wa Kihonda.
Mch. Mseli akilishwa keki huku mchungaji Lupia akionekana kushangilia tendo hilo la upendo
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Harold Dickson | Faraji Mfinanga | +255752490120
Copyright © 2014. DR. FELIX GWAMIYE - All Rights Reserved
Imetengenezwa na Harolduzg kusambazwa na Faraji Mfinanga
Proudly powered by hashocq