Katika picha ni baadhi ya matukio yaliyofanyika katika hitimisho la kambi la mtaa wa Kihonda katika manispaa ya Morogoro, lililohudumiwa na Mch. Jonas Singo kutoka mtaa wa Magomeni na kwaya ya kanisa la wasabato Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
![]() |
Mch. Jonas Singo akizungumza na mkutano |
![]() |
Amenya Amosi, mwalimu wa kwaya ya Yombo Dovya akiandaa muziki kwa ajili ya watoto |
![]() |
Joseph Majura, kutoka kanisa la wasabato Ilala akiwaongoza watoto kwenda kuonesha matendo waliyojifunza kwa juma zima |
![]() |
Watoto wakionesha matendo yao |
![]() |
Chama cha watafuta njia (PFC) wakionesha matendo yao |
Post a Comment